Albums na hit songs za kwaya za kikatoliki

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Hapa tutatiririka na nyimbo kali na albums kali za kwaya kutoka R.C

Unazo ona zimetikisa kweli iwe katika jimbo au mkoa wako au Tanzania nzima.

Mimi bwana nitaanza na hawa kwaya ya mtakatifu Cesilia toka jimbo katoliki la Arusha na Album yao iliyotikisa iitwayo "MSHIPI"

Hii Album ilisheheni vibao maridadi vya uinjilishaji kama:- i, mshipi
ii, Ninakupenda Mungu hapa kilipigwa kinanda hatari sana
Your browser is not able to play this audio.

iii, Nani ni nani
iv, Tutaishia kusema
v, Wosia
vi, Nimevunja mkataba na shetani
vii, Bwana alikuwa tegemeo
 
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa sifa mbalimbaliii, wengine ni warefuuu wengine ni wafupiii! Wote ni wa Munguuu, woteee!

Siwajui walioimba ni kwaya gani!
 
Mna kelele hapo kabla hamjaanza kurekodi 🤣 🤣
 
Kuna kwaya moja ya St Joseph Migori Kenya nayo ilisumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…