Huyu jamaa siku anapendwa mpka anaringa
sijapenda kwa kweli uzi mtamu kama huu hauna picha
Nauelewa sana huu mzigo, hasa kwenye mbio fupi unamix na Serengeti kitu wali nazi
Nauelewa sana huu mzigo, hasa kwenye mbio fupi unamix na Serengeti kitu wali nazi
Sio kweli...matendo yanayotokana na unywaji wa pombe ndio dhambiAcheni kutenda dhambi
Pombe ni dhambi shauri lenu!
nani kasema na wewe baada usome vitabu unakuja na story za kuambiwa na watuAcheni kutenda dhambi
Pombe ni dhambi shauri lenu!
Yeeeesi manaake nkinywa safari ndo naonaga mmekunywa biaHabari njema kutoka TBLView attachment 735968
hiii pombe sijawai kuipenda maisha yangu yote hata Nikiikuta imejaa kwenye friji. mimi ni safari, caster lager, value, balimi, na K VAT
Safari ndio bia halisi ya mtanzania..japo siku hizi wanazingua sana,wanazilipua haziivi vizuri kama za hapo awaliYeeeesi manaake nkinywa safari ndo naonaga mmekunywa bia