ashukuru yuko na majamaa zake
hahahahahaa hatari sanaKuna siku nilipiga brand za beer zote mmmhmmm kilichonikuta nimeamka saa sita mchana nahamakiiiii eti nina laki nne mfukoni. Nikaenda zanguuu Hollycross kula wine ya kupima.
Safi sana huu ndio ugonjwa wanguBAADA YA KUNYWA SUMU KWA MDA MREFU MSISAHAU HICHII KITU JAPO MARA 4 KWA WEEK AU MWEZI NA MAZOEZI
View attachment 736035
Fresh au mtindi?BAADA YA KUNYWA SUMU KWA MDA MREFU MSISAHAU HICHII KITU JAPO MARA 4 KWA WEEK AU MWEZI NA MAZOEZI
View attachment 736035
Juzikati sisteri wangu alikuja kunisabahi nikamnunulia safari zakutosha na chairfire make namjua vizuri mambo yake jamani jamani aliongea aliongea mpaka nikaomba poo.. Story haziishiKitu safari bana. Eti Ladha kamili, inayoridhisha zaidii. Safiii sana. Hapa ofisi nikikata kona tuuu nakutana na bango la castle lager kiukweli napata muuunkaliii wa kupiga kazi hatarii.
Tatizo la safari lager hangover yake ni balaa tu, yani mtu asubuhi unakua mnyonge mno na miguu hupoteza mawasiliano, anagalau k_vant sionagi nachoka asubuhi
Sure brother, hiyo kitu si mchezo!!Kijana nimecheka sana.
Sure brother, hiyo kitu si mchezo!!
Utakuwa tilalila mbaya kwani ufukweni huwez isikia kama ngano imefanya kaz vizurUfukweni ndio napapenda
Aiseee
hahaha ss tabu zote hizo za nn!!Tatizo la safari lager hangover yake ni balaa tu, yani mtu asubuhi unakua mnyonge mno na miguu hupoteza mawasiliano, anagalau k_vant sionagi nachoka asubuhi