mkuu hapo umetudanganya catecholamines zinasababisha activation ya brain which is opposite to what alcohol does to you...
alcohol ni CNS depresant....ina sababisha inhibition ya neurones kwenye ubongo kama vile glutamate na GABA...depression ya alcohol kwenye ubongo ni dose dependent, yaani unapoanza kunywa na kuongeza concetration mdogo mdogo ndipo unapoona hiyo cns depresion...
kwanza unaanza kwa kupata kitu inaitwa paradoxical disinhibition...ambapo hapo unakua kidogo upo active coz umeinhibit gaba neurones ( kwenye ubongo GABA neurones zipo nyingi kuliko glutamate)...
hapo kwenye paradoxical disinhibition unakua umeondoa zile breaks ambazo mtu wa kawaida anakuanazo...mfano kabla hujanywa pombe unakua huezi kuongea matusi kwasababu zile breaks zinakuepo sasa kama zile breaks hazipo hapo ndo mtu anapofeel kujiamini na kufanya mambo ambayo ukiwanormal huezi fanya
then baadae unapozidi kuongeza concetration ndipo unapoanza kuona CNS depression kwa kuinhibit neurones zote yaani gaba pamoja na glutamate..
ndio maana unapokunywa bia yenye concetration nyingi ya alcohol mfano bia bingwa ile iliyofungiwaga waezapata respiratory depression na kudanja mazima kama ukinywa nyingi