Alcohol: Inafanyaje kazi?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Mimi ni mtumiaji wa vinywaji vya aina nyingi vinavyolewesha kama bia, wine, whisk nk japo siko addicted, ila swali nalojiuliza ni kwamba how does this alcoholism work kwenye ubongo wa binadamu mana ukishakuwa bwax kuna confidence flani unaipata ktk kufanya mambo mbali mbali,,sasa hii alcoholisim inafanyaje kazi?
 
Ukitumia pombe inasababisha mwili utoe substances known as catecholamines..ambazo zinasababisha activation za nerve system za mpaka kwenye brain
 
Ukitumia pombe inasababisha mwili utoe substances known as catecholamines..ambazo zinasababisha activation za nerve system za mpaka kwenye brain

mkuu hapo umetudanganya catecholamines zinasababisha activation ya brain which is opposite to what alcohol does to you...

alcohol ni CNS depresant....ina sababisha inhibition ya neurones kwenye ubongo kama vile glutamate na GABA...depression ya alcohol kwenye ubongo ni dose dependent, yaani unapoanza kunywa na kuongeza concetration mdogo mdogo ndipo unapoona hiyo cns depresion...

kwanza unaanza kwa kupata kitu inaitwa paradoxical disinhibition...ambapo hapo unakua kidogo upo active coz umeinhibit gaba neurones ( kwenye ubongo GABA neurones zipo nyingi kuliko glutamate)...

hapo kwenye paradoxical disinhibition unakua umeondoa zile breaks ambazo mtu wa kawaida anakuanazo...mfano kabla hujanywa pombe unakua huezi kuongea matusi kwasababu zile breaks zinakuepo sasa kama zile breaks hazipo hapo ndo mtu anapofeel kujiamini na kufanya mambo ambayo ukiwanormal huezi fanya

then baadae unapozidi kuongeza concetration ndipo unapoanza kuona CNS depression kwa kuinhibit neurones zote yaani gaba pamoja na glutamate..

ndio maana unapokunywa bia yenye concetration nyingi ya alcohol mfano bia bingwa ile iliyofungiwaga waezapata respiratory depression na kudanja mazima kama ukinywa nyingi
 
Mkuu upo sahihi..review about brain stem catecholamines circuity activation by alcohol..
also alcohol causes rise of plasma cortisol concenyration and adrenaline which increases heart rate and make some one active.
 
Mkuu upo sahihi..review about brain stem catecholamines circuity activation by alcohol..
also alcohol causes rise of plasma cortisol concenyration and adrenaline which increases heart rate and make some one active.
lidocaine ushaanza kuzoe eeeh.nice :thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha..ndio mkuu.najizoesha@kantangaze
 
Mkuu upo sahihi..review about brain stem catecholamines circuity activation by alcohol..
also alcohol causes rise of plasma cortisol concenyration and adrenaline which increases heart rate and make some one active.

mkuu kureliziwa kwa catecholamines ni reflex mechanism...ambayo ni secondary to CNS depression and metabolic derangement zinazoletwa na alcohol kwenye mwili...

ngoja nikupe mfano utakao kuonyesha jinsi catecholamines zinavyokuwa released na dhumuni lake...

ukinywa pombe.. tukiachana na primary action yake ya kudepress ubongo, zile metabolites za alcohol zinasababisha acidosis kwenye damu..

acidosis kwenye damu itasababisha bradycardia na mambo mengine...ili sasa kucounteract hii reduced heart rate ( bradycardia) brain itaactivate sympathetic nervous system na kurelease noradrenaline na adrenaline ambazo zinaeffect kwenye heart na sehemu nyingine ..

hapo sasa ndo mtu anapopata tachycardia yaani increase in heart rate kama ulivyosema pamoja na increase in plasma cortisol levels nk.. hizi zote zikiwa effect za rise in plasma catecholamines

ila mkuu catecholamines has nothing to do with the feeling of being drunk or anything ...ingekua ni hivyo basi kila tunapopata stress tunalewa...
 
Huu uzi wangu ulinipotea asee!
 

Nimekupata vyema mkuu
 

Lugha ulotumia hujaeleweka hata kidogo,kingereza kingiii had kero,.madai yenu mnaita lugha ya kitaalamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…