ALDERSGATE!! ALDERSGATE!! ALDERSGATE!! Mpo???

NIMIMI

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
170
Reaction score
16
Ndugu zangu wahitimu wenzangu wa mwaka 2002 kidato cha nne, katika shule ya ALDERSGATE Mpo wapi Jamani?

Najua maisha ni mtenenange unaotutenganisha tulio wengi, ni vizuri tukakumbukana na kuwasiliana kwa ukaribu tukikumbuka enzi hizo za Babu yetu Mbesere na Chai na vinginevyo tulivyokuwa tukivifanya chini ya Mkuyu mkubwa pale shuleni na mengineyo ambayo hayawezekani kuyaongelea yote hapa Jamvini.

Hivyo tunahitaji kuwa na mtandao utakao tukumbusha na kuyajadili ya enzi hizo na kufikia yajayo! Mungu awe nanyi popote mlipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…