Alert: Kabla ya kumtongoza demu soma hapa kwanza

Hahaa duh

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Au wewe ujifanye una mahaba MUBASHARA umuoshe mwenyewe, hahahahahah
 
Hii nishida kwa kweli

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wahenga walisema mwanamke mzuri anaonekana asubuhi kabla ya makeup ndo utaona ka sura kake kama ni kazuri au ngumu kama ya babu.
 
Kazi kwenu masharobaro, mi mwenzenu utongozaji nawalia timing wakitoka bombani kuteka maji
 
Halafu nyie wanaume sijui mnatakaje., wanawake wasiopaka make up hamuwaangalii hata kidogo mnawapna nsyuka, mfn mzuri akiwekwa yule sijui ndo ebitoke mnaponda weeee! Tukiweka make up mnatukimbilia speed halafu mitandaoni mnajidai hampendi. Isingekuwa nyie kuwa picky na kudanganywa na make ups unadhani wangapi wangehangaika nao namna hii? Hamjitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…