wale wengine tuendelele kuvuta subira kutokana na kusitishwa kwa orodha yetu. Tafadhali msiwe na haraka hadi marekebirho yakamilike. Huu ni mtazamo wa wangu kwa sababu tamisemi haijaweka wazi suala hili.

we nae acha kuvuruga watu! Wewe unakuja na mitazamo yako wakati wenzio wameenda hadi tamisemi wakapewa majibu ya uhakika! Uwe unapitia thread za wenzio sio unakurupuka tu usingizini unaanzisha thread!