Alert: Wandishi wa habari wote nchini.

Alert: Wandishi wa habari wote nchini.

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
Tunaomba mfuatilie na pia mtoe taarifa ya ukweli kuhusu kilichosababisha ajira za ualimu zisitangazwe leo kama ilivyoahidiwa na TAMISEMI mbele yenu. Hasa ITV
 
Tunaomba mfuatilie na pia mtoe taarifa ya ukweli kuhusu kilichosababisha ajira za ualimu zisitangazwe leo kama ilivyoahidiwa na TAMISEMI mbele yenu. Hasa ITV

Tumewachoka bwana..kwani lazima muajiriwe n serikali..kila saa mnatupigia kelele humu, mpssxxuyyyy
 
binafs naomba waende mbali zaid kwani ktendo cha kuita press conference na kuongea uongo ni dharau kwa waandishi,
 
Tumewachoka bwana..kwani lazima muajiriwe n serikali..kila saa mnatupigia kelele humu, mpssxxuyyyy
now kila kona ni ajira za walimu coz ni janga kila kitu kina wakat wake now walimu cku nyingine utasikia kitu kingine c walimu tena so acha wajinafasi ndo sehemu yao ya kutoa machungu yao
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
 
Nisema ivi kuweni na subira ndugu waliimu tupo kwnye hatua zamwisho kuzirusha katika tovuti ya wizara ya elimu
Asanteni
 
Imekuwa kero sasa,endeleeni kuichagua ccm mtaelewa tu.
 
Back
Top Bottom