Huyo jamaa ni noma,namfahamu tokea tukiwa watoto wadogo maeneo ya pale Friend's Corner Hotel(Nasikia kuwa ile hotel ni yake) kati kati ya Argentina na Magomeni Kagera mikoroshini. Suala la kumchapa mtu bastola ya mguu au kumpasulia mtu chupa kichwanii kwake ni jambo la kawaida na kitu cha kushangaza ukienda polisi hakamatwi. Kashawatia watu wengi sana ukilema, sasa hivi yeye umri umeenda hafanyi matukio kwa mkono wake bali ana vijana wake wa kazi ambao wanafanya matukio. Kweli siku za mwizi ni 40, sasa kibao kimemgeukia.