Chawaism chawamax.. kwa mtu mwenye bad reputations kama yeye no body gives a shit what he has to sayMkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais
Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50 wanampenda Dkt. Samia na wapiga kura zaidi ya Milioni 25 wameahidi kumchagua katika Uchaguzi wa tarehe 29, ila Watanzania Milioni 1 tu ndio wanaojifanga hawampendi mitandaoni kwa sababu ya kusikiliza propaganda za uongo
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3487099
Source: Lemutuz TV
Chawa huwa wanajizima data. This really is Chura Kiziwa vs Chura Kiziwi. Nchi haina mgombea Urais mwingine ambaye ni mgombea in the strictest sense of the word. Opponents wa kweli wamepigwa pin.Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais
Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50 wanampenda Dkt. Samia na wapiga kura zaidi ya Milioni 25 wameahidi kumchagua katika Uchaguzi wa tarehe 29, ila Watanzania Milioni 1 tu ndio wanaojifanga hawampendi mitandaoni kwa sababu ya kusikiliza propaganda za uongo
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3487099
Source: Lemutuz TV
Huyu naye akili yake imeishia kwenye makalio yake. Hana akili mla rushwa huyu.Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais
Msama amaesema Watanzania zaidi ya Milioni 50 wanampenda Dkt. Samia na wapiga kura zaidi ya Milioni 25 wameahidi kumchagua katika Uchaguzi wa tarehe 29, ila Watanzania Milioni 1 tu ndio wanaojifanga hawampendi mitandaoni kwa sababu ya kusikiliza propaganda za uongo
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3487099
Source: Lemutuz TV
Mkurugenzi wa Msama Promotion Ndugu Alex Msama amesema kulingana na utafiti uliofanyika nchi nzima, Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye anayependwa zaidi kuliko Wagombea wa vyama vingine zaidi ya 16 vilivyosimamisha Wagombea Urais