PreGE2025 Alex Msama: Rais amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanaoishi kwa furaha ni wazi ni wale wanaowanyima wenzao furaha kumbe hatushangai ni wakati wa wezi,mafisadi,wahuni,Malaya,watekaji,na watesaji na wauaji kuishi kwa furaha maana matendo ya uovu kwao ni furaha.
 
Majizi ya viwanja lazima yatoe pongezi ili kuweka kinga yasishughulikiwe kisheria.

Huyu mama anasifiwa na watu walio na maslahi yao binafsi.
Huyu mwanamke anasifiwa na wahuni watupu Alafu hashituki kweli mwanamke sikuzote Hana uwezo,mwanaume ni kichwa. MUNGU HAKOSEI KAMWE.
 
Kila mtanzania? eti?
 
Huyu mwanamke anasifiwa na wahuni watupu Alafu hashituki kweli mwanamke sikuzote Hana uwezo,mwanaume ni kichwa. MUNGU HAKOSEI KAMWE.
Kazungukwa na vibaka ile document ya viwanja inajieleza.
 
Msama promotion msambaji mkuu wa nyimbo za injili
Tapeli huyu. Kamuulize Rose Mhando mwimbaji wa nyimbo za Injili, alimfanya mabaya sana ikifika hatua anamshikia Silas’s ili kumdhuru. Tapeli wa viwanja na mali za watu.
Hivi kumbe yupo huyu tapeli!
 
😂😂😂😂 Watanzania wapi hao mjini ni No reform no election sasa wengine wanataka kuwa Gwajimanization
 
Huyu Tapeli,mdhulumati lazima asifie mfumo uweze kumuona !


Ova
 
Bwana Alex,Kama n kweli ndani ya hii miaka 4 ya bi 🐸watu wanaishi raha mustarehe iweje aiogope Tume Huru ya Uchaguzi?
 
Hili tapeli halioni haya
 
Lazima aseme hivyo, si kamuondolea Jerry Slaa wizara ya ardhi baada ya kuona anabumburua maovu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…