Alex Msama Vp Tena Na Rose Mhando??

Tangu alivyoanza kuongelewa kuwa anatumia ngada madhara yake tungeshaona live,ngada haijifichi,Kuna kitu nyuma ya pazia hapa.
 
Rose katapeli sana wachungaji what goes around comes around
 
sipendagi anavyokataga mauno kisirisiri kwenye video zake.....
 
Tuombe Mungu.Promota mzuri apatikane.Sio huyo Msama.Eti Rose Hana ubavu wa kujaza Diamond Jubilee. Hivi Anamjua Rose au anamsikia.Yule inatumia Pesa kushawishi atengwe..baada ya kumdhurumu
Rose ninayemfahamu mimi ni MKOROFI....nyie mnaomtetea sogeeni karibu naye pengine hamtaandika haya..... Mungu atusaidie sote.
 
Habari haieleweki ni ipi na maoni yako ni yepi.

Hata hivyo pole Rozi Mhando.!
 
Huu uandishi wako unatesa sana kusoma hii habari,jaribu kufata kanuni za uandishi basi.
 
Sasa kama yeye anatunga nyimbo zake msama ana mzuiaje hapo, ebu nieleweshe kdogo
Hujaelewa.Yaani Kuna ile promo.Sasa umezungukwa na Watu wanakuharibia Eti Msimuamini tapeli anabwia unga.Ukiangalia nyimbo za Dini na unga.So a nashindwa kusonga mbele ukiangalia Pesa kadhulumiwa.Sijui umeelewa.Bwana yule yupo katikati na Pesa kumchafua.Yy si anasema kila Mara anamtoa police.Ivi Kuna siri siku hizi mapichaa si tungeyaona.Au VP Jamani Rose anapotea huku ana kipaji sana.
 
Mtoa mada unaandika kama ngumbaru, anyway ni kweli Rose alishika sana enzi za 'Nibebe', hiyo ishu ya madawa na utapeli nimeisikia mara nyingi sijui ina ukweli kiasi gani
Ngumbaru Kweli.Una jingine.
 
Msama kapigwa chini na Rose sasa huo ni wivu unaomsumbua
 
Huko nyuma niliwahi onana na Rose akiwa na jamaa mmoja anaitwa Nathan ambae nilitambulishwa kua alikua ni Manager wa Rose,pia kuna huyu Msama sijui nae nikaambiwa lazima apate mshiko sasa nikajiuliza hawa jamaa wote wawili wanamtegemea huyu dada? Anyway nikasema dili limekufa siwezi wapa pesa mababa wawili afu Rose apate kidogo,kwa kifupi Rose kawatengenezea pesa hao watu wawili Nathan na Msama muuza magodoro.
 
Jana nimenunuwa arbam ya bahati nikawa nimegoma kununuwa nikijuwa nifeki akaniambia siku hizi anajisimamia mwenyewe ha menejiment
 
Hivi naniliu ile hela yake aliyopata alipouza kiwanja kule kigamboni bado ipo?, au ndio jahazi limeanza kuteka maji?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…