Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
•••[emoji981]|ALEX NGEREZA
[emoji860]"Benchikha hana tofauti kubwa na Robertinho kwenye club ya Simba kutokana na performance ya timu ilivyo mpaka sasa kwasababu hata yeye ameshindwa kuirudisha Simba kwenye kiwango ambacho walikuwa nacho kipindi kile wakiwa hata na Juma Mgunda akiwa kocha wa muda wakati ule ambao ameondoka Zoran Marck"
Wote ni wazee wa objective football [emoji23]