Alex Ngereza: Benchika hana utofauti na Robertinho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
•••[emoji981]|ALEX NGEREZA

[emoji860]"Benchikha hana tofauti kubwa na Robertinho kwenye club ya Simba kutokana na performance ya timu ilivyo mpaka sasa kwasababu hata yeye ameshindwa kuirudisha Simba kwenye kiwango ambacho walikuwa nacho kipindi kile wakiwa hata na Juma Mgunda akiwa kocha wa muda wakati ule ambao ameondoka Zoran Marck"

Wote ni wazee wa objective football [emoji23]
 
Ahahaha ila wee na Simba huambiwi kitu unaweza kuacha kunyonyesha ili ukomenti
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hapo pa kuacha kunyonyesha umenichekesha sana..au upo busy na kukoment kumbe nyonyo imeingia puani...acha tuu Mungu atusamehe...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hapo pa kuacha kunyonyesha umenichekesha sana..au upo busy na kukoment kumbe nyonyo imeingia puani...acha tuu Mungu atusamehe...
Hata iweje....siwezi kuoa mwanamke anayeshabikia mpira .....hata kama tupo timu Moja[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…