Alex ngereza: Simba wamecopy jezi Kwa Azam

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MAVI YA KALE MBOLEA

Maoni ya Mchambuzi nguli Alex Ngereza.[emoji3578]

"Hii jezi ya Blue Simba wamecopy kutoka kwenye jezi za Azam Fc, Simba hawajafanya ubunifu wowote zaidi kuchukua na kuweka kwao"

"Ingawa hii jezi Nyekundu na Nyeupe wamefanikiwa kutoa jezi kali kuliko jezi za Yanga tofauti na misimu mingine walikuwa wanashindwa kutoa jezi kali na Yanga, lakini ukweli utabakia kuwa Mavi ya kale Mbolea.

𝙉𝙄 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 π™Žπ™„π™ˆπ˜½π˜Ό π™’π˜Όπ™ˆπ™€π˜Ύπ™Šπ™‹π™”, π™”π˜Όπ˜Όπ™‰π™„ π™Žπ™„π™ˆπ˜½π˜Ό π™’π˜Όπ™ˆπ™€π™†π™π™’π˜Ό π˜Ώπ™„π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώ π™‹π™‡π˜Όπ™π™‰π™π™ˆπ™•.

#Sv6 #SokaVibe6Tv

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mtu mfupi akiwa anatokea mbali huku kavaa ile jezi ya blue, utadhani ni betri ya National imesimamishwa barabarani.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ukiniambia jezi za Simba zimekuwa "inspired" na hizo za Azam, nitakubaliana na wewe ila kusema hiyo ni copy and paste, nitahoji ufahamu wako wa hicho unachoita "copy and paste"
Kkucopy ni kuiba ideas na bidhaa husika ya mtu .....ku paste ni kuifanyia iwe yako

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kuna jipya dunia hii?Anajua hata maneno aliyotoa huyo "Gereza sijui Mgereza",ni maneno ambayo hajaanza kutoa yeye!?
Na kwa kueleza hivyo,ana ushahidi upi kwamba Azam ndiyo walioanza kuitengeneza aina hiyo ya jezi?Alikuwa kiwandani?
ANGALIZO:Siyo wa kwanza kuionesha jezi hadharani.Ni kuhusu wa kwanza kuibuni na kuitengeneza kiwandani.
 
Jezi za Azam zimetoka lini na za Simba zimetoka lini?
Gap hapo ni siku ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…