Game ya kwanza alimpigaje?Bado atashinda A. Joshua. usyk hawezi mpiga AJ
Hamna we tafuta tu link uangalie ila bongo hamna ila pambano la mwakinyo tarehe 3 kule kwa malkia Azam wataonyeshaKuna king’amuzi chochote bongo wanaonyesha!?
Joshua usharobaro wake ndyo unamponza apunguze usharobaro ni bondia mzuri sanaNani kuibuka mbabe!?
Jaribu MBC 2
joshua mbabeNani kuibuka mbabe!?