Mapambano mengi ya AJ yako hivyo. Hana charisma na hawezi ku-promote mapambano yake. Hata akishinda kwa knockouts bado ni boring. Ni sawa tu na alivyokuwa Lennox Lewis - pengine heavyweight bora kabisa kwa kizazi hiki cha sasa (80s+).....Pambano halikuwa na mvuto
HahaaMapambano mengi ya AJ yako hivyo. Hana charisma na hawezi ku-promote mapambano yake. Hata akishinda kwa knockouts bado ni boring. Ni sawa tu na alivyokuwa Lennox Lewis - pengine heavyweight bora kabisa kwa kizazi hiki cha sasa (80s+).....
Kupromote pambano vizuri inasaidia sana hata kama uko Mandonga πππ
Kwani nasema uwongo ndugu yangu? Tyson bana...ukichelewa ulingoni hata dakika 3 tu unakupa pambano limeshaisha....hivyo ndivyo inavyotakiwa - ama unapiga au unapigwa inaeleweka mapema siyo kusumbua watu na kukumbatiana na kukwepana π¬π¬π¬Hahaa
Acha kabisa Mkuu. I miss These times, nakumbuka tulikuwaga tunaskia tu mtaaani. Mtu kapigwa KO sekunde kadhaaKwani nasema uwongo ndugu yangu? Tyson bana...ukichelewa ulingoni hata dakika 3 tu unakupa pambano limeshaisha....hivyo ndivyo inavyotakiwa - ama unapiga au unapigwa inaeleweka mapema siyo kusumbua watu na kukumbatiana na kukwepana π¬π¬π¬
Unamuona hapa Larry Holmes alivyohangaika. Na hapa Tyson alikuwa ameapa kumlipizia kisasi idol wake Mohammed Ali maana Larry Holmes alimpiga Mohammed Ali kinyama sana mpaka leo wengine wanaamini pengine hilo pambano dhidi ya Larry Holmes ndiyo lilimpa brain damage. Na hii ndiyo ilikuwa knockout defeat pekee ya Larry Holmes na sidhani kama alipigana tena!
Kama Karim Mandonga Wa KingolwiraJoshua ni bondia wa kawaida sana tena zaid ya sana
Hapa Larry Holmes aliisha anza kujichokea tu.Kwani nasema uwongo ndugu yangu? Tyson bana...ukichelewa ulingoni hata dakika 3 tu unakupa pambano limeshaisha....hivyo ndivyo inavyotakiwa - ama unapiga au unapigwa inaeleweka mapema siyo kusumbua watu na kukumbatiana na kukwepana [emoji51][emoji51][emoji51]
Unamuona hapa Larry Holmes alivyohangaika. Na hapa Tyson alikuwa ameapa kumlipizia kisasi idol wake Mohammed Ali maana Larry Holmes alimpiga Mohammed Ali kinyama sana mpaka leo wengine wanaamini pengine hilo pambano dhidi ya Larry Holmes ndiyo lilimpa brain damage. Na hii ndiyo ilikuwa knockout defeat pekee ya Larry Holmes na sidhani kama alipigana tena!
Labda heavy weight,lakini kule kwa kina gervonta davis,devin haney ,loma,spence,bado kwa motoNafikiri boxing zama zake zimekwisha aisee.
Ndiyo. Kwa Buster Doglas Tokyo alipigwa akapigika. Ni kawaida katika ndondi maana kuna kujiamini kupita kiasi na kuanza kuwa complacent. Huu ni mchezo wa hatari na ukimdharau tu mpinzani wako huna wa kumlaumu maana ni wewe tu ulingoni. Lennox Lewis pamoja na ubora wake na kuwa kwenye peak alimdharau Hasim Rahman mwenzake anajiandaa yeye yuko huko anashuti muvi sijui Ocean Eleven matokeo yake akaambulia KO huko South Africa.Hapa Larry Holmes aliisha anza kujichokea tu.
Weka pambano la Tyson na James Douglas hapa. Tyson alikuwa wa moto lakini alichokutana nacho siku hiyo hakuna aliyetarajia.
Usimfananishe Lewis na huyo bishooMapambano mengi ya AJ yako hivyo. Hana charisma na hawezi ku-promote mapambano yake. Hata akishinda kwa knockouts bado ni boring. Ni sawa tu na alivyokuwa Lennox Lewis - pengine heavyweight bora kabisa kwa kizazi hiki cha sasa (80s+).....
Kupromote pambano vizuri inasaidia sana hata kama uko Mandonga πππ
ππππππππUsimfananishe Lewis na huyo bishoo
Alikula kisago cha kwendaπππTatizo lake hana ile killer instinct. Yaani yupo yupo tu...Mikanda mitatu on the line anapigana kizembe tu ...
Ndo maana Mike Tyson atabakia kuwa boksa aliyependwa sana na waelewa masumbwi ya heavyweight. Yaani ilikuwa akikiwasha amekiwasha utafikiri umemchapia demu wake. Hata wanaodai kuwa alikuwa overrated lakini style yake ya upiganaji ilikuwa moto sana...
Ona kama huyu mtoto wa Joe Frazier alivyojichanganya. Kidogo auliwe...Na hakupigana tena baada ya hii kasheshe!
View attachment 2329946
Tyson alikuwa anagonga ngumu aisee halafu blow zake zina uzito wa kutosha yani ikikuingia ni kama umetandikwa jabali πππ!James "Lights Out" Toney anafananishwa na Floyd Mayweather kwa defense. Alikuwa mzuri sana lakini huwezi kumlinganisha na Tyson maana yeye alianzia huko Cruiserweight na Middleweight. Amekuja kuingia Heavyweight miaka imeshaenda. Angeanzia kwenye heavyweight angekuwa hatari sana...
Tyson bana ni ule upiganaji wake. Yaani anakupiga utafikiri kuna kitu umemuibia yaani...Na ile uppercut sasa mtu ilikuwa akijilengesha basi mchezo kwisha!
Tyson alikuwa ana attack zaidi kuliko defense, speed yake na pumzi + uzito wa nako alikuwa mapema sana anamaliza mchezo kwa K.O!Hakuwa overated, ila style yake iliwafanya maboxer wa kipindi iko waonekane wa kawaida, alikuwa ni anavagaa
Alipigana tena na Evanda baadae, walienda into distance, evanda alishinda kwa narrow marginKwani nasema uwongo ndugu yangu? Tyson bana...ukichelewa ulingoni hata dakika 3 tu unakupa pambano limeshaisha....hivyo ndivyo inavyotakiwa - ama unapiga au unapigwa inaeleweka mapema siyo kusumbua watu na kukumbatiana na kukwepana [emoji51][emoji51][emoji51]
Unamuona hapa Larry Holmes alivyohangaika. Na hapa Tyson alikuwa ameapa kumlipizia kisasi idol wake Mohammed Ali maana Larry Holmes alimpiga Mohammed Ali kinyama sana mpaka leo wengine wanaamini pengine hilo pambano dhidi ya Larry Holmes ndiyo lilimpa brain damage. Na hii ndiyo ilikuwa knockout defeat pekee ya Larry Holmes na sidhani kama alipigana tena!
Tatizo lake Tyson ilikuwa akivuka round ya 6 umeishammaliza. Alikuwa hatari sana ndani ya round 6 za kwanza. Na mapambano mengi ameshinda mapema sana.Tyson alikuwa ana attack zaidi kuliko defense, speed yake na pumzi + uzito wa nako alikuwa mapema sana anamaliza mchezo kwa K.O!
Mimi ile ndio the Best Upper Cut ever then ile ya Joshua Anthony aliyomkata Wladimir Kltschiko.Ndiyo. Kwa Buster Doglas Tokyo alipigwa akapigika. Ni kawaida katika ndondi maana kuna kujiamini kupita kiasi na kuanza kuwa complacent. Huu ni mchezo wa hatari na ukimdharau tu mpinzani wako huna wa kumlaumu maana ni wewe tu ulingoni. Lennox Lewis pamoja na ubora wake na kuwa kwenye peak alimdharau Hasim Rahman mwenzake anajiandaa yeye yuko huko anashuti muvi sijui Ocean Eleven matokeo yake akaambulia KO huko South Africa.
Nina mapambano yote ya Tyson hata aliyopigwa na Evander "The Real Deal" Hollyfield (mara 2), Buster Douglas, Danny Williams huku ameshaanza kuzorota na mwishoni hapa Lennox Lewis.
Ninachompendea Tyson wala siyo ubora wake bali ni style yake ya kupigana. Ama anapiga au anapigwa mashabiki mnaridhika ndiyo maana mapambano yake yalivuma sana!
Nitakuwekea gif yake na Buster Douglas. Alitandikwa uppercut ambayo ilizungusha shingo yake nyuzo 180. Hizi ndiyo ndondi aka The Sweet Science. Ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha! [emoji16][emoji16][emoji16]