Alfa na Alfu: Mapacha walio kufa kifo chenye utata jijini Dar Es Salaam

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao.

Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika.

Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu.

Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo tukio huenda ukweli ukajulikana na roho za marehemu kupata justice yao.

Walikuwa wanaishi Yombo Vituka mtaa wa Magogoni.

May their souls rest in peace

 
Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo tukio huenda ukweli ukajulikana na roho za marehemu kupata justice yao.
wenye jukumu la kufuatilia jambo hili ni Jeshi la Polisi ili haki ipatikane.
 
Jamani. Mungu awarehemu. Uchunguzi ufanyike mapema iwezekanavyo
 
Hmeandika kama vile ulikuwa unawakimbia askari, walifia nyumbani au hospitali na walikuwa wakiishi vipi, kila mmoja na kwake au pamoja? Ndugu zao walichukua jukumu gani kama vile kutaka uchunguzi wa kidaktari au kipolisi?
POLENI WOTE NDUGU NA MARAFIKI.
 
Waislamu hao wazee wa kutupiana Majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mostly mambo ya DNA.. Uchunguzi ufanyike kabla ya mazishi
 
Nimeikuta facebook mkuu hakukuwa na information za kutosha
 
hawa vijana kama nishawahi kuwaona kule insta wakifanya comedy....au nimewafananisha?.

roho zao zipumzike mahala pema peponi.
Hata tiktok pia walikuwepo ndo hawa hawa.
 
Hawa mbna ni comedians wa Tiktok, lol
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] RIP kwao.
 
Watu wa Yombo huko tuambieni chochote, hivi wote wawili wafe kwa mpigo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…