ALFRED TIBAIGANA aka MTAMBO WA SHERIA NA TARATIBU

ALFRED TIBAIGANA aka MTAMBO WA SHERIA NA TARATIBU

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Naisikitikia sana nchi yangu ya TZ kwa kukumbwa na tatizo la kuchanganya siasa ktk kila jambo kama vile kwenye afya ,elimu,ujenzi,michezo nk.nimekua nikimfatilia muda mrefu huyu jamaa tangu akiwa jeshin . Ni kiongozi asiyefanya maamuzi kisiasa, kufata uvumi au kufrahsha watu .naombea awe waziri aujapo awe raisi wa hapo tff tu ili awafundishe watz adab ya jinsi ya kufata taratibu...poleni sana watz mnahitaji kina magufuri na tibaigana angalau 25 tu ili muendelee bahat mbaya hata wa5 hawajafika .mfano bila yeye tungejuaje uozo uliokithiri na ukiukwaji wa taratibu pale tffffffffffffffff ffffff ?
 
kama hana maslahi fulani hapo, basi atakuwa amejaribu.
 
Back
Top Bottom