Alfred Tibaigana anaongoza KWAYA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Niko kwenye harusi ya Alex Tibaigana, mtoto wa Afred Tibaigana. Mzee mzima mwenyewe kamanda wa zamani anaongoza kwenye. VWERE FWANTASTIKA
 
Kuna hadi wachina, ni nduguze Bob Alfred Tibaigana, kweli Wahaya wako juu kama mnara wa kuongozea ndege
 
Anamtambulisha Mahita sasa ...... Nahisi soon atawataja jamaa waliouwawa na Zombe kwenye msitu wa pande, asipo wataja atakuwa sio mzalendo.
 
Tubandikie baadhi ya picha za hiyo harusi tuone wajihi wake kwa sasa.
 
Nahisi hata arusi yenyewe haipo.
Basi tu bujibuji anatafuta kusogeza muda huku akisubiri dinner then akalale.
 
Nahisi hata arusi yenyewe haipo.<br />
Basi tu bujibuji anatafuta kusogeza muda huku akisubiri dinner then akalale.
<br />
<br />
Ha ha ha ha kumbe huyu jamaa hamnazo eeh
 
Buji x Buji , Mbona wewe ni full kushangaa kama uko feri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…