Tibaigana kweli anayo hoteli. Hiyo Hoteli kwa kweli inatisha na sijui kwa nini kaiweka sehemu hiyo polini. Ina hadhi ya kimataifa. Nakumbuka mwaka jana kama mwezi wa 7 alileta furniture kali kutoka South Afrika ambazo hazikufiti katika Hoteli ile na furniture zote zilirudishwa huko Afrika ya kusini kwa ndege. Jamaa anatisha kwa kweli.
Lakini kinachonishangaza sijui hivyo vijisenti alivipataje wakati mshahara wake haufiki hata milioni 2?
isitoshe kwa nini asiingie chama pinzani? Hii ndio inanipa kumbukumbu kuwa mara nyingi alikuwa anapinga sana maandamano hata ya amani ya vyama vya upinzani. Kweli jeshi la polisi ni jeshi la CCM,