Algeria: Amnesty yatoa wito wa kuachiliwa kwa Mwandishi Ihsane El Kadi

Algeria: Amnesty yatoa wito wa kuachiliwa kwa Mwandishi Ihsane El Kadi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria kutoka kwa watu na Mashirika "kwa kubadilishana na kutekeleza shughuli ambazo zinaweza kudhuru usalama wa Taifa".
Shirika hilo la kutetea Haki Za Binadamu limesema shutuma hizo ni "makosa ya uongo yanayohusiana na Usalama wa Serikali" na kulaani kile ilichokiita "kampeni ya ukatili ya kuwanyamazisha wakosoaji"

.....................................

Rights group Amnesty International has urged Algeria to immediately release jailed journalist Ihsane El Kadi, The prominent journalist is accused of illegally receiving money from people and organisations “in exchange for carrying out activities that could harm state security".

Amnesty said the accusations against the journalist were "trumped-up state security related offences" and condemned what it called a “ruthless campaign to silence critics”. “El Kadi’s unjustified detention by the Algerian authorities is a grave injustice compounded by the violation of his fair trial rights,” Amnesty said.

The journalist was remanded on 29 December, days after being detained. On Sunday, a judge renewed the decision to hold him in pre-trial detention. Amnesty said no lawyers from his defence team were present at that time to challenge the lawfulness of his imprisonment.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom