Nategemea itakuwa fainal nzuri,ILA wakati wenzetu wanafurahia matokeo ya uwekezaji wao kwenye sports sisi bado tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu ana uwezo wa kukinyoa,na kwa habari zaidi muda huu kunafanyika mashindano ya Dunia kwa mpira wa Pete na jirani zetu Malawi na Uganda(ranked no 5 in the world)wanashiriki fainali hizi,wakati nchi ina heshima na adabu timu ya netball ya Bora ilikuwa inazifunga timu za taifa za netball za Malawi na Uganda ;nani asiyekumbuka wakati Bora VS Jeshi stars?DSM ilikuwa inasimama!tuendelee kumtafuta mchawi wetu.