Umecheki na supplier,
Mimi huwa wananitumia kwa Posta
Upo mkoa ganSupplier anasema msafirishaji ni aliexpress wenyewe kupitia Aliexpress standard shipping.
Hao aliexpress nimewauliza Wanasema aliyepokea ni local delivery company ila hawaitaji jina lake hiyo kampuni
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndegeHabari wadau.
Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.
Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.
Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina lake.
Mpaka leo sijapigiwa simu wala kuletewa mzigo wangu na hiyo local delivery company.
Ningependa kujua local delivery company ambazo ali express wanazitumia ku deliver parcel hapa Tanzania ili nifike ofisini kwao kuulizia mzigo wangu.
Hapa unamchanganya huyu mdau, yeye anataka kujua mzigo wake anaupataje.Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5 tangu kuagiza Kwako Kwa njia ya ndege
Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar
Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..
Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958
Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
NB: pole na kadhia uliopata Kwa mzigo wako..tucheck Fago Express
Ym express wale wale wanaktumiwa na kikuu ndii hufanya delivery za aliepy mpaka huko uliko.Habari wadau.
Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.
Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.
Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina lake.
Mpaka leo sijapigiwa simu wala kuletewa mzigo wangu na hiyo local delivery company.
Ningependa kujua local delivery company ambazo ali express wanazitumia ku deliver parcel hapa Tanzania ili nifike ofisini kwao kuulizia mzigo wangu.
Kama umewahi kuagiza kikuu ni hao hao ndio huleta.. hupiga simu.Supplier anasema msafirishaji ni aliexpress wenyewe kupitia Aliexpress standard shipping.
Hao aliexpress nimewauliza Wanasema aliyepokea ni local delivery company ila hawaitaji jina lake hiyo kampuni
Nenda posta hawapigi simu sikuhiziHii imeishia vipi? Mzigo uliupata, mimi nimekutana changamoto kama hii, tracking inaonyesha mzigo unasubiri kuchukuliwa lakini hakuna details zozote. View attachment 2976584