Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania Bara Ally Salum Hapi akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amesema Asilimia kubwa ya waliopo magerezani ni wana CCM nipe kihabari