Elections 2010 Ali Hassan Mwinyi ampiga tafu JK?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Juzi kwenye mahafali ya shule moja ya sekondary Bagamoyo, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi aliwahasa wananchi wachague viongozi wazuri na makini, wasije wakafanya makosa (Mwananchi 17 Oct. 2010). NEC ya CCM ilikutana hivi karibuni na kuwaomba wastaafu wampige jeki JK, hivi hii ya Mwinyi ndio jeki kwa JK? Au ndio wanamuua kabisa kisiasa?
 
Wala hakuzungumzia CCM hata kidogo yeye alisema wananchi wachague viongozi safi tu.
 
mwinyi hajampigia chapuo kikwete yeye kasema wachague viongozi bora watakao waletea wanchi maendeleo!
 
Juzi kwenye mahafali ya shule moja ya sekondary Bagamoyo, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi aliwahasa wananchi wachague viongozi wazuri na makini, wasije wakafanya makosa (Mwananchi 17 Oct. 2010).

Wazee hawa wa CCM siyo wajinga wamekwisha kuona upepo unavyoivumia vibaya CCM kwa sababu ya kuendekeza rushwa na udhalimu dhidi ya raia wasiyo na hatia kwa hiyo hawapo tayari kukosana na wananchi kwenye suala ambalo lipowazi kama hili la JK kuachia ngazi na kumkabidhi kiongozi makini Dr. Slaa na Chademaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mwinyi hajampigia chapuo kikwete yeye kasema wachague viongozi bora watakao waletea wanchi maendeleo!

Kweli uniform zinalipiwa, maana huyo dada asiyena uniform anamshangaa mama Kikwete anafurahia nini ....checki kabitnti kalivyokata tamaa....mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…