Ali Hassan Mwinyi : Mzee rukhsa Safari ya Maisha Yangu

Mzee mwinyi, raisi bora kuwahi kutokea tz. Anashika no. 1 akifuatiwa na kikwete, no 3 mkapa. Nne na 5 simalizii, naona mama anakuja kasi kuna watu watapitwa soon. Sina haja ya kuwataja
 
Waandishi mashuhuri wa vitabu hapa bongo baada ya kuviandika huwa mungu anawachukua sijui kuna nini hapa katikati hata mimi sielewi,mifano yangu hii hapa.....
1.Mengi

2.Mkapa

3 ...........Loading.
 
Msiliogope kaburi lakini pia msilidhihaki kaburi
 
Magufuli hakuwa mwanasiasa Bali alikuwa jamaa asiye na utu hata kidogo.
 
Sawa kabisa .lakini ameenda kumsemasema kila muda haitasaidia chochote,mwanaume analalamika mara moja kisha maisha yanaendelea
Ubaya wake lazima usemwe hata kama miaka mia tano ijayo.

Hii ndiyo legacy aliyoiacha itaishi Milele tutaendelea kuiandika ili kukiponya kizazi kijacho kuongozwa na watu aina yake.
 
Halafu hiki kitabu tofauti na wengine
Yeye amekiandika kwa lugha ya kiswahili πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Ptz,
Hiyo ni bei juu kwa kuwa ni hard cover.
Soft cover itakuwa ahueni.
 
Waandishi mashuhuri wa vitabu hapa bongo baada ya kuviandika huwa mungu anawachukua sijui kuna nini hapa katikati hata mimi sielewi,mifano yangu hii hapa.....
1.Mengi

2.Mkapa

3 ...........Loading.

3..........loading , king Rabbit.
 
Hongera.

Sasa kisome halafu utuletee Muhtasari..
Na wewe si usome ili mijadala iwe balanced? Hizi habari za kusimuliana zimepotosha mambo mengi sana. Ingewezekana kila mtu aandike vitabu kama hivi ili kuondoa kokoro
 
Hilo analijua tena sana,ila kiburi cha uzima kinamsumbua na utoto wake.
 
Mzee mwinyi, raisi bora kuwahi kutokea tz. Anashika no. 1 akifuatiwa na kikwete, no 3 mkapa. Nne na 5 simalizii, naona mama anakuja kasi kuna watu watapitwa soon. Sina haja ya kuwataja
Kweli. Tuache utani, kumwacha mwl Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…