Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Eli...Wewe tushakujua mzee
Utamsifia asilimia 50000 mwinyi kwa sababu tu ni wa itikadi yako huku kila ukicha ukimtuhumu nyerere kwa udini wa kutunga tunga ili tu uridhishe kiu yako ya mtafaruku na utengano maana ndio asili yenu
Ukiwa mtu mwerevu,msomi na mwanahistoria lazima umpuuze mzee huyu.
Aliuza pia Loliondo.Mwinyi aliuza/gawa park yetu ya mnazi mmoja kwa baghad, baghad aliweka uzio park yetu yote ya mnazi mmoja, not good …