wimbo wenyewe uko hivi:
Sikatai yule mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi, lakin pia uvumilivu na vitendo vyenye karaha vilimuumiza, mwenzio mim ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa. Nidham uliyonipa mwanzo ndio inaniuma. Fikira zako ziko vibaya kwa kuzani ya kwmba yule demu nilimpenda, ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa hekima. Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama, kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona. unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa ...........najua mwanamke akipenda anapenda kweli.....
chorus: sasa ana runi dunia .....X 3
vesi ya pili
najua wapo waliobadilisha dini kwa sababu ya kupenda..na wapo walioaga dunia kwa sababu hiyo hiyo kupenda.....besy yangu nilimpenda............wacha niishe hapo .najaribu kuuweka hapa ila nashindwa