Kweli huyu dogo kapastepaste lyrics za r kely.goigoi sana huyu
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee... wanawake hawapendi kweli ila hupenda pesa... tena ukome potosha jamiii.. Umenisoma Ali Kiba... HABARI NDIO HIYOOOO
huyo dogo data inaonekana yupo kwenye gemu sasa kazidiwa keteishu zingine banaa
kwa style hii, basi tutasema Kelly kakopy kwa diane Warren, naye tutasema ameiba kwa Bette Midler naye tutasema kaiba kwa Demis Roussus naye tutasema kaiba kwa Skita Davis naye tutasema kaiba kwenye agano jipya nk...
we need deeper critique than this
WIVU MBAYA SANA, HEBU TUPE BASI NA WEWE LYRICS ZAKO
napenda nyimbio za Ali Kiba ila huu ni zaidi ya kuupenda!!!wimbo wenyewe uko hivi:
Sikatai yule mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi, lakin pia uvumilivu na vitendo vyenye karaha vilimuumiza, mwenzio mim ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa. Nidham uliyonipa mwanzo ndio inaniuma. Fikira zako ziko vibaya kwa kuzani ya kwmba yule demu nilimpenda, ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa hekima. Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama, kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona. unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa ...........najua mwanamke akipenda anapenda kweli.....
chorus: sasa ana runi dunia .....X 3
vesi ya pili
najua wapo waliobadilisha dini kwa sababu ya kupenda..na wapo walioaga dunia kwa sababu hiyo hiyo kupenda.....besy yangu nilimpenda............wacha niishe hapo .najaribu kuuweka hapa ila nashindwa
kwa style hii, basi tutasema kelly kakopy kwa diane warren, naye tutasema ameiba kwa bette midler naye tutasema kaiba kwa demis roussus naye tutasema kaiba kwa skita davis naye tutasema kaiba kwenye agano jipya nk...
We need deeper critique than this
wivu mbaya sana, hebu tupe basi na wewe lyrics zako
huyo dogo data inaonekana yupo kwenye gemu sasa kazidiwa kete
hakuna lyrics zozote mpya duniani, kwani mziki umeanza kabla ya yesu messiah
kweli dogo data nakuita dogo ushuzi