Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu yetu Ally Kamwe amealikwa kuendesha Semina ya siku 1 ya kuboresha na kuwajengea uwezo Maafisa habari wa vilabu vya Ligi Kuu Zanzibar (PBZ Premier League) leo tarehe 15, Sept 2024 katika Ukumbi wa mikutano wa Waandishi wa Habari katika Uwanja wa New Amaan Complex.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
NB: Je ni kweli ukiwa Yanga automatically unakuwa well connected???
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
NB: Je ni kweli ukiwa Yanga automatically unakuwa well connected???