Ali Kamwe amealikwa kutoa mafunzo Kwa maafisa habari ligi ya Zanzibar

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu yetu Ally Kamwe amealikwa kuendesha Semina ya siku 1 ya kuboresha na kuwajengea uwezo Maafisa habari wa vilabu vya Ligi Kuu Zanzibar (PBZ Premier League) leo tarehe 15, Sept 2024 katika Ukumbi wa mikutano wa Waandishi wa Habari katika Uwanja wa New Amaan Complex.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB: Je ni kweli ukiwa Yanga automatically unakuwa well connected???
 
Pongezi kwake
 
Zanzibar kuna ligi? Ok wangemwita Sope maanda ndie afisa habari wa UTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…