Wengi tunaopita kwenye social media mbali mbali tumeona msemaji wa yanga akinusurika kupata kipigo kwa kujaribu kukamata jezi feki za timu yake na nyingine za Simba.
Kwa muda mrefu kumekuwa na jezi feki nyingi hasa za Simba na wao hao hao akina Kamwe na wenzie,ni kama wanakua wanajua kuwa kuna jezi za hovyo zitatoka za mpinzani wao eti kwa vile viongozi wake na mdhamini mkuu wa timu hiyo ya Simba ni wababaishaji.
Hata hivyo wengine tumekuwa tukiamini ni project inayodhamimiwa na watu wazito hasa wapinzani wa Simba.
Watu hawa ni hatari na huenda ndio wahusika wa jezi feki zilizokamatwa juzi.
Huyu kijana anatakiwa kutumia akili ya ziada linapokuja suala kama hilo kwani ukweli ni kuwa anaweza kuwa anapambana na waajiri wake.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app