hiyo ndio namba aliyoanza kucheza"Kwenye mazoezi Diara anacheza namba sita, huwa anamwambia Mshery kaa golini nishikie kidogo kwanza, ngoja nikakae na Sure Boy pale."- Ali Kamwe, @alikamwe Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga akimzungumzia ubora mwingine wa mlinda mlango, Djigui Diarra katika Kipindi cha Jambo Wikiendi TBC1.
View attachment 2857652
Wabongo bhana, na ww umeamini na dhambi unazibeba.Yan toka nikutane na hi tuhuma kwamba Huyu dogo ni mke wa rais ,Yanga ishanikinai kabisaa. Sitak hata kuisikia
Mhmm! Tuhuma Mbaya sana...!!! Mungu aepusheYan toka nikutane na hi tuhuma kwamba Huyu dogo ni mke wa rais ,Yanga ishanikinai kabisaa. Sitak hata kuisikia
Acha uzwazwa wewe. Kwa kuwa wewe ni mke wa mtu usimzushie kila mtu. Hivi kwanini nyie mashoga mnaamini kila mtu duniani ni shoga? Pia haya yameingiaje kwenye mada tajwa? Huko Dar inaonekana ni rahisi sana mwanaume kuvuliwa Ubingwa. Pumbavu mkubwa wewe.Yan toka nikutane na hi tuhuma kwamba Huyu dogo ni mke wa rais ,Yanga ishanikinai kabisaa. Sitak hata kuisikia
Siku hizi haya majamaa yanayokobolewa kazi yao ni kuzushia kila mtu shoga. Sasa ilikuwa inahusiana nini yeye kutuletea habari za mtu kama ni shoga? Na hii ndio changamoto ya member wa JF kwa sasa kupakazia watu ushoga na ulawiti bila kujali kuwa hao wanaopakaziwa wana familia, ndugu na jamaa.Mhmm! Tuhuma Mbaya sana...!!! Mungu aepushe
Mpuuzi kabisa huyo dogo. Atuambie yeye nani anamla tako maana wamezidi pakazia watu ushoga bila kujali kuwa wana familia, ndugu na jamaa. Hawajui wala hawajali namna wanavyoumiza wenzao kihisia. Wao ni kupakazia tu. Hii sio sawa kabisa.Nawewe ni mke wa Nan [emoji23]
Vijana tunakosa utuMpuuzi kabisa huyo dogo. Atuambie yeye nani anamla tako maana wamezidi pakazia watu ushoga bila kujali kuwa wana familia, ndugu na jamaa. Hawajui wala hawajali namna wanavyoumiza wenzao kihisia. Wao ni kupakazia tu. Hii sio sawa kabisa.