Ali Kamwe: Jamhuri kama sio kuvaa njano mngekula kumi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
KUMBE hizi timu zinazocheza na yanga zikiwa na jezi za rangi za yanga zina msaada sana. Kamwe amesema kama sio Jamhuri kuvaa njano alikuwa apewe mikono miwili

Kwa heshima tukakubaliana jamanii eeh ile njano iheshimiwe tukaishia 5.

Hahahaaaaa shikamoo Kamwe.
 
Nimegundua Kamwe alikua hajui kua hao Jamhuri, walianza kuvaa yellow and green kabla yeye hajazaliwa.
 
KUMBE hizi timu zinazocheza na yanga zikiwa na jezi za rangi za yanga zina msaada sana. Kamwe amesema kama sio Jamhuri kuvaa njano alikuwa apewe mikono miwili

Kwa heshima tukakubaliana jamanii eeh ile njano iheshimiwe tukaishia 5.

Hahahaaaaa shikamoo Kamwe.
Kwahiyo anakiri wamepanga matokeo
 
Back
Top Bottom