Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Mmeambiwa ndani ya siku 2 au 3 atapatikana.Kesho ni Jumatano na hakuna dalili ya kocha mkuu, inamaana mpaka sasa mategemeo ya kuipindua meza ipo kwa kocha Mabedi. Ndio mechi yake ya kwanza kwa Yanga na kibarua cha kuifanya Yanga ifuzu makundi kwa kulipa deni na ziada juu + clean sheet.
MuhimuWananchi tukajaze uwanja
Alikamwe amesema team itasimamiwa na mabedi jumamosiMmeambiwa ndani ya siku 2 au 3 atapatikana.
Tutafuzu kuwa na amani mkuuKesho ni Jumatano na hakuna dalili ya kocha mkuu, inamaana mpaka sasa mategemeo ya kuipindua meza ipo kwa kocha Mabedi. Ndio mechi yake ya kwanza kwa Yanga na kibarua cha kuifanya Yanga ifuzu makundi kwa kulipa deni na ziada juu + clean sheet.
Ahsante kwa kupokea
Tena wamesema saa 2 mageti yako wazi, hapa ndo mimi wamenikosa. Wangefanya hata buku au elfu mbili. Hii ya bure akina sie tuliozea kuingia uwanjani lisaa limoja kabla ya game itakuwa imekula kwetu.Wananchi tukajaze uwanja