Ali Kamwe: Kombe litapelekwa Arusha ili Simba walione

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
ALLY KAMWE: KAMA WALIFIKILI KOMBE WAMELIKIMBIA, NAWAMBIA LITAWAKUTA HUKO HUKO WALIPOKIMBILIA.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc Ali Kamwe ameweka wazi kuwa malengo yao kwenye mchezo huo sio alama tatu ila lengo ni kufunga magoli mengi ili Aziz Ki afunge magoli ya kutosha kwa lengo la kumsaidia kwenye mbio za kubeba kiatu cha mfungaji bora msimu huu

Kamwe anasema kuwa siku ya Jumamosi Asubuhi Helikopta itaondoka Dar na kombe kuwapelekea Simba SC Jijini Arusha ili walione japokuwa hawatolishika kombe hilo.

#FutbalPlanetUpdates
 
Haha huu sasa ni ukorofi... ila ndo wajifunze wakati wengine wanafanya usajili wao walikua bize na MO energy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…