Ali Kamwe kosa la kwaza ulilianzia hapa

Ali Kamwe kosa la kwaza ulilianzia hapa

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi

2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea maneno yenye utata sana kuwa wanaume tunalea ila watoto wakikua unaskia nani kama mama mzee wako aliongea kama utani ila ndani ana kitu be careful mdogo wangu

Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
 
Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
 
Tatizo la Ally Kamwe ni elimu elimu...Majukumu ya kusemea TAASISI kubwa kama yanga huwezi kumpa FORM4 FAILURE..
 
Akae banchi miaka miwili sio mbali, mbona manara alivumilia akamaliza kifungo. Kuimba ni kupokezana
 
Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
Sijaisikiaga hiyo habari! Ila watoto haswa wakiume ni mtihani sana sana, nna mwanangu wa kiume nilizaa nje, nilipambananae utoto wake kiafya nakupoteza chungu ya pesa,naomba Mungu asije jazwa sumu na mama yake nae akanidharau ,japo ana upendo na mimi,

watoto wa kike huwa wana mapenzi na baba zao sana sana!
 
Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
Siku hizi visa vimekuwa vya majumuisho, watu hawana muda wa kuutafuta ukweli. Si kwa Wanaume wala wanawake. Ndio maisha tunayoishi sasa; yataka ujasiri kupotezea yanayosemwa.
 
1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi

2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea maneno yenye utata sana kuwa wanaume tunalea ila watoto wakikua unaskia nani kama mama mzee wako aliongea kama utani ila ndani ana kitu be careful mdogo wangu

Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
Duuuh hii ni balaa
 
Balaa
 
Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
ACHA UONGO! Ni lini Ally Kamwe alitoa maneno ya kuonesha eti alitelekezwa na baba yake?! Kama kumuita Kolo kuna siku kuna Mwandishi aliwahi kumsikilizishia kabisa clip ambayo Ali Kamwe alisema "Makolo 3000 ikiwa ni pamoja na baba yangu..."! Yule Mzee alicheka tu na akasema huu ni utani tu wa mtoto kwa baba yake na ndio raha ya utani wa mpira", in short, Mzee haku-mind kabisa!! Siku ambayo ali-mind ni pale Ally alipowaita Simba "My", na akasema "anaposema Simba my wake ina maana hata mimi baba yake na wajomba zake ni my wake!" Kwahiyo mzee alionesha wazi anafahamu maana ya "my" na kweli mtu mwenye busara hawezi kusema Simba au Uto ni my wangu kwa sababu hakuna familia ambayo wote ni Simba au Uto, na ndo maana hata mimi huwa nashangaa sana mtu mzima na akili yake anakuambia Simba wote au Uto wote ni wangese- sasa kama sio upumbavu nini! Kwa mfano mimi binafsi ni Mnyama, lakini wadogo wangu wote na mama ni Uto! Sasa leo niseme Uto wote wenye akili ni wawili tu nikimnukuu Manara sasa hapo mpumbavu atakuwa Manara au mimi wakati hata huyo Manara alishamtoa baba yake kwenye kundi la Uto wasio na akili!
 
Kweli wewe ni 5imba mwenye akili
 
Back
Top Bottom