Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi
Usihamishe mjadala. Hakuna afisa habari anayefungiwa kwa kuonyesha hadharani mafanikio yake. Kama kweli amefungiwa, sababu za kisheria zitakuwa zimetajwa1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi
Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
Tatizo la Ally Kamwe ni elimu elimu...Majukumu ya kusemea TAASISI kubwa kama yanga huwezi kumpa FORM4 FAILURE..1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi
2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea maneno yenye utata sana kuwa wanaume tunalea ila watoto wakikua unaskia nani kama mama mzee wako aliongea kama utani ila ndani ana kitu be careful mdogo wangu
Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
Sijaisikiaga hiyo habari! Ila watoto haswa wakiume ni mtihani sana sana, nna mwanangu wa kiume nilizaa nje, nilipambananae utoto wake kiafya nakupoteza chungu ya pesa,naomba Mungu asije jazwa sumu na mama yake nae akanidharau ,japo ana upendo na mimi,Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
Siku hizi visa vimekuwa vya majumuisho, watu hawana muda wa kuutafuta ukweli. Si kwa Wanaume wala wanawake. Ndio maisha tunayoishi sasa; yataka ujasiri kupotezea yanayosemwa.Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
Watatu. Na mimi hapaWasomi yanga ni wawili tu
Huna ✓Kigezo cha kwanza cha kuajiriwa yanga ni lazima uwe hauna akili ndo maana watu wa yanga hawaishi kufungiwa kila kukicha
Duuuh hii ni balaa1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi
2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea maneno yenye utata sana kuwa wanaume tunalea ila watoto wakikua unaskia nani kama mama mzee wako aliongea kama utani ila ndani ana kitu be careful mdogo wangu
Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
Balaa1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi
2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea maneno yenye utata sana kuwa wanaume tunalea ila watoto wakikua unaskia nani kama mama mzee wako aliongea kama utani ila ndani ana kitu be careful mdogo wangu
Soma Pia: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
ACHA UONGO! Ni lini Ally Kamwe alitoa maneno ya kuonesha eti alitelekezwa na baba yake?! Kama kumuita Kolo kuna siku kuna Mwandishi aliwahi kumsikilizishia kabisa clip ambayo Ali Kamwe alisema "Makolo 3000 ikiwa ni pamoja na baba yangu..."! Yule Mzee alicheka tu na akasema huu ni utani tu wa mtoto kwa baba yake na ndio raha ya utani wa mpira", in short, Mzee haku-mind kabisa!! Siku ambayo ali-mind ni pale Ally alipowaita Simba "My", na akasema "anaposema Simba my wake ina maana hata mimi baba yake na wajomba zake ni my wake!" Kwahiyo mzee alionesha wazi anafahamu maana ya "my" na kweli mtu mwenye busara hawezi kusema Simba au Uto ni my wangu kwa sababu hakuna familia ambayo wote ni Simba au Uto, na ndo maana hata mimi huwa nashangaa sana mtu mzima na akili yake anakuambia Simba wote au Uto wote ni wangese- sasa kama sio upumbavu nini! Kwa mfano mimi binafsi ni Mnyama, lakini wadogo wangu wote na mama ni Uto! Sasa leo niseme Uto wote wenye akili ni wawili tu nikimnukuu Manara sasa hapo mpumbavu atakuwa Manara au mimi wakati hata huyo Manara alishamtoa baba yake kwenye kundi la Uto wasio na akili!Usimfariji! Alifanya upumbavu mkubwa sana kutoa maneno ya kumsimanga baba yake mzazi kiasi kwamba alimpa wakati mgumu kujibu maswali ya waandishi.
Mzee alipata uchungu sana na kwa sasa anatukanwa tu na watu wasio na maadili eti alimtelekeza mwanaye kitu ambacho siyo sahihi.
Ila nadhani Ally Kamwe ndicho alitaka kitokee
Kweli wewe ni 5imba mwenye akiliACHA UONGO! Ni lini Ally Kamwe alitoa maneno ya kuonesha eti alitelekezwa na baba yake?! Kama kumuita Kolo kuna siku kuna Mwandishi aliwahi kumsikilizishia kabisa clip ambayo Ali Kamwe alisema "Makolo 3000 ikiwa ni pamoja na baba yangu..."! Yule Mzee alicheka tu na akasema huu ni utani tu wa mtoto kwa baba yake na ndio raha ya utani wa mpira", in short, Mzee haku-mind kabisa!! Siku ambayo ali-mind ni pale Ally alipowaita Simba "My", na akasema "anaposema Simba my wake ina maana hata mimi baba yake na wajomba zake ni my wake!" Kwahiyo mzee alionesha wazi anafahamu maana ya "my" na kweli mtu mwenye busara hawezi kusema Simba au Uto ni my wangu kwa sababu hakuna familia ambayo wote ni Simba au Uto, na ndo maana hata mimi huwa nashangaa sana mtu mzima na akili yake anakuambia Simba wote au Uto wote ni wangese- sasa kama sio upumbavu nini! Kwa mfano mimi binafsi ni Mnyama, lakini wadogo wangu wote na mama ni Uto! Sasa leo niseme Uto wote wenye akili ni wawili tu nikimnukuu Manara sasa hapo mpumbavu atakuwa Manara au mimi wakati hata huyo Manara alishamtoa baba yake kwenye kundi la Uto wasio na akili!
Huna ✓
Hauna ×
You're essentially arguing about something like the difference between kuua vs kumwua or harusi vs arusi.Hauna✔️
Huna✖️
haya lia sasa.