Ali Kamwe: Mashindano ya CAF, hatua hizi za awali tunapeleka ujumbe kwa Vilabu vinavyopewa nafasi ya kuwa Mabingwa

Ali Kamwe: Mashindano ya CAF, hatua hizi za awali tunapeleka ujumbe kwa Vilabu vinavyopewa nafasi ya kuwa Mabingwa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_456251645_18333712807135476_8692557729394280804_n_1080.jpg
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA.

Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini.

Soma Pia: Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024
 
Hatua za awali ni kwa timu vibonde Sasa anampelekea nani ujumbe wakati vigogo wametulia.
 
Ila jamaa apunguze kuongea Sana sababu anapitiliza Hadi kwenye uongo
 
Ndiyo kwaanza kunakucha....
Akumbuke kuna wataalam wa fitna na mpira pia...
Yote kwa yote kila la kheri
 
Back
Top Bottom