Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA.
Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini.