Ali Kamwe: msimu huu Simba nimewafanya kama robot Eunice

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji673]NIMEWAJAZA MAKOLO KWA BOB MARLEY WAKAJAA [emoji2788]“Milioni 350+ Gari la Milioni 70 Kwa Goli Moja .. Yaani Kamoko kwa Mwaka Mzima Bob Marley Kalamba Mkataba wa Maajabu,

”Huu Msimu Makolo nimewafanya kama Roboti Eunice.. Nikiwajaza kwenye njia zangu, Basi Wanajaa mazimaa Hadi Raha Tatizo lao kubwa Makolo ni kuwa na Viongozi wengi 'System ya Mchina, Jua kidogo tu, Betri inavimba,

“Tukutane Aman Complex Saa 1:00

“BANGO KUUBWA LIKO PALEPALE KWENYE JENGO.. MIMI HUWA SIDANGANYI.” -Ali Kamwe [emoji1787]

#amouryangasc
 
Yani watu wana maneno yanaweza kukuchekesha ukiwa umenuna. Mpira raha sana hasa harakati zinazoendelea nyuma ya uwanja. Sema pia unawafanya watanzania wasifuatilie mambo mengine ya serikali. Mtanzania anaweza kulia timu yake kufungwa ila kamwe hawezi kulilia toto afya kadi kufutwa kistali fulani.
Sema nasemaje, mpira wa TZ una burudani sana mimi si mpenzi sana wa mpira ila nafurahia zile siasa na maneno yanayoendelea nje ya uwanja kama haya ya kuwachukiza wapinzani.
 
Mpira wetu....kivyetu vyetu
 
Huy
HJyu Punga anasema nini? Muulizeni kwanini ana bifu na baba yake mzazi. Au muulizeni kwanini mkewe alimkimbia mara baada ya kumfuma akilewa denda kwenye gari.
 
Huy

HJyu Punga anasema nini? Muulizeni kwanini ana bifu na baba yake mzazi. Au muulizeni kwanini mkewe alimkimbia mara baada ya kumfuma akilewa denda kwenye gari.
[emoji23][emoji23][emoji32] makasiriko hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…