Simba hawajashuka ila Yanga kwa sasa hawana ukata, kwa miaka mingi Yanga ikiwa vizuri ki uchumi Simba haijawahi kufurukuta.Yanga akipanda simba anashuka.
Yanga akiwa na ukata na migogoro, simba anapanda
HahahahahahaMashabiki wa Simba anzeni kununua Panadol maana jumapili tutashuhudia pira maguvu ,pira kukuru kakara a.k.a VISHINDO VYA WAKOMA. Mtalala hoi na kipigo juu.
mashabiki wa utopolokwinyo mnapenda Sana kujipa kazi ya utabiri lakini inawakataa muda wote, hizi pumba zako utazilamba jumapili, hakikisha hiyo jumapili hukosi Panadol advance itakusaidiaMashabiki wa Simba anzeni kununua Panadol maana jumapili tutashuhudia pira maguvu ,pira kukuru kakara a.k.a VISHINDO VYA WAKOMA. Mtalala hoi na kipigo juu.
Niliangalia mechi ya Power Dynamos vs Simba, Simba ilizidiwa sana na goli la pili lilirudi baada ya Power Dynamos kubaki kumi uwanjani! Jpili watakuwa 11 tunaweza kushuhudia maajabu ya mpira! Makolo mechi zao ni mbili tu this season of CAF Champions league!mashabiki wa utopolokwinyo mnapenda Sana kujipa kazi ya utabiri lakini inawakataa muda wote, hizi pumba zako utazilamba jumapili, hakikisha hiyo jumapili hukosi Panadol advance itakusaidia
Kolo unateseka ukiwa wapi...mashabiki wa utopolokwinyo mnapenda Sana kujipa kazi ya utabiri lakini inawakataa muda wote, hizi pumba zako utazilamba jumapili, hakikisha hiyo jumapili hukosi Panadol advance itakusaidia
Ile mechi Simba hakuzidiwa hata kidogo, kukosa umakini kwa Baleke ndio kuliikosesha ushindi Simba, we endelea kuota utakuja kushtuka umekojoa kama sio kunya kabisa kitandaniNiliangalia mechi ya Power Dynamos vs Simba, Simba ilizidiwa sana na goli la pili lilirudi baada ya Power Dynamos kubaki kumi uwanjani! Jpili watakuwa 11 tunaweza kushuhudia maajabu ya mpira! Makolo mechi zao ni mbili tu this season of CAF Champions league!
Nimeota Simba itakandwa mbili bila na bao zote zitafungwa dakika 30 za kipindi Cha kwanza!
Kama ilivyokakutokea safari ile ulipotumiwa jini mahaba akakukulaMoja ya makafara ya mashabiki wa utopolo ni kabla na baada ya mechi.
Kabla ya mechi ni damu baada ya mechi ngono.Asilimia kubwa ya wanawake wanaoshabikia utopolo wanatumiwa majini mahaba ili wakandwe na mwanaume yoyote aliye karibu yao.Huwa wanapagawa na hawajui wao hudhani ni kwa sababu wanaipenda timu
Huu mchezo hautaki hasira,utaliwa wewe kama sio demu wakoKama ilivyokakutokea safari ile ulipotumiwa jini mahaba akakukula
Hawawezi kitu hao waache wahangaikeMimi simba ila sio rahisi kutoboa usiulize kwanin mimi ndio mpelekaji
Huyo ni popo, batman, alien au chura mwenye mabawa? 😆🤣 Kuna watu wanajuaga kujidhalilisha.