Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semaji au Comedian?Kanaumwa haka kajamaa,,yaan anataka kujilinganisha na semaji la kafu
Kalpana ebu fanya kama unapitia hapa
Upo serious chiefSemaji au Comedian?
Yule ni sawa na Pastor Mgogo au Hananja tu.Yule jamaa ni comedian kweli
Akina Mpoki soon watafanya collabo naeYule jamaa ni comedian kweli
Naona kavaa jezi lenye matairiNikiwapa semina kwenye idara ya habari, nileteeni yule comedian wa makolo (Ahmed Ally) naye apokee somo, mlete hata kwa viboko.
Kanaumwa haka kajamaa,,yaan anataka kujilinganisha na semaji la kafu
Kalpana ebu fanya kama unapitia hapa