Ali kamwe: Nimecheki Kwenye Darubiki Mechi Ngumu sio Utani

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Ali kamwe:
" Kesho tuna mechi ngumu sana wala sio utani, Mimi ni Mtu wa kutamba sana lakini nimecheki kwenye darubini yangu kesho tuna mechi ngumu sana , kwanza tunacheza na timu yenye rekodi nzuri uwanja wa nyumbani lakini pia walipofikia sasa hivi sio mechi ya Rivers dhidi ya Yanga

ni mechi ya Nigeria dhidi ya Yanga kwa sababu hakuna timu nyingine ya Nigeria ambayo ipo Robo fainali"- @alikamwe,

Afisa habari wa Yanga SC kuelekea mchezo wa kesho huko Nigeria.
 
HUYU JAMAA NI MSHAMBA SANA.

YALE YALE WENYE AKILI NI WAWILI TU....

ANAROPOKA MNO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…