Ali Kamwe: Simba ina mabosi wengi, Yanga ina watendaji wengi

Ali Kamwe: Simba ina mabosi wengi, Yanga ina watendaji wengi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Siku ya Mwananchi Uwanja Tulikabidhiwa saa 6 usiku, kama ingekuwa simba ndio wamekabidhiwa ule uwanja muda huo asubuh kila mtu angeshika kichwa, wangefanya mambo ya hovyo kwasababu wana maboss wengi watendaji wachache.

“Ilivyofika saa 6 usiku kila mtu alishika eneo lakini hadi saa 12 asubuh tukawa tumemamilza kazi, lakini Simba walijaza makorokocho mengi hivyo ilikuwa rahisi kubandua na kuchanachana hata wangetupa uwanja saa 10 saa 12 asubuh tungekuwa tumemaliza,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe

Je unakubaliana na hili
1723538333401.jpg
 
Back
Top Bottom