Ali Kamwe: Simba tutawafuata na bakora waje kujifunza Kwa yanga

Ali Kamwe: Simba tutawafuata na bakora waje kujifunza Kwa yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Rais wa klabu ya @yangasc Injinia @caamil_88 ametoa elimu kwa uongozi wa klabu ya @tpmazembeofficiel ambao wamefika makao makuu ya klabu hiyo hapo jana wakitaka kufahamu ni namna gani klabu ya Yanga imeweza kubadirisha mfumo wake wa kiundeshaji na kuweza kutawala soka la ndani na nje kwa muda mfupi sana.

Uongozi huo wa klabu ya @tpmazembeofficiel uliongozwa na C.E.O wa klabu hiyo,pamoja na mafunzo hayo klabu ya Yanga imeingia makubaliano kiurafiki na klabu ya Tp Mazembe kuweza kushirikiana kwenye mambo mbalimbali

Ali Kamwe "Kuna watu tutawafata kwa bakora waje kujifunza hapa"

Screenshot_20240515-100711.jpg
 
Yaani TP Mazembe wanawazoom na nyie mnachekelea kabisa? 🤣😆.

Kwamba timu iliyowahi kubeba kombe la Klabu Bingwa Afrika, hadi kucheza na Inter Milan kombe la Klabu Bingwa ya Dunia inakuja kujifunza kwa timu ambayo hawajawahi kufika level hizo?

Hapo ni aidha TP Mazembe wamekuja kutalii tu badala ya kujifunza au wamekuwa wapumbavu wasiojua mahala sahihi pa kujifunza.
 
Hujui why waliitwa MBUMBUMBU??mkuu Hawa watu na maarifa ni paka na panya,watu wametoka Congo huko wamekuja kujifunza,wao mtaa wa pili wanatega Skuli
Wana waza ulozi tu ......dunia ya leo
 
Nyie mlijifunza kitu gani kwenye simba iliyokuwa chini ya babra?
Tulijifunza kuwa straight kwenye maamuzi ....utakula kitu kizito...kama alichokula babra
 
Yaani TP Mazembe wanawazoom na nyie mnachekelea kabisa? [emoji1787][emoji38].

Kwamba timu iliyowahi kubeba kombe la Klabu Bingwa Afrika, hadi kucheza na Inter Milan kombe la Klabu Bingwa ya Dunia inakuja kujifunza kwa timu ambayo hawajawahi kufika level hizo?

Hapo ni aidha TP Mazembe wamekuja kutalii tu badala ya kujifunza au wamekuwa wapumbavu wasiojua mahala sahihi pa kujifunza.
Ndo hivyo mkuu...
 
Back
Top Bottom