Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu" @alikamwe
Ameyasema hayo leo 2/7/2024 wakati akizungumza na Waandishi Wahabari
Ukilitazama hili ni ukweli mtu kabisa Ishu ya kusajiliwa Chama ni Biashara kwa Yanga na ukitumia nafasi vizuri katika uuzaji wa jezi zao za msimu huu basi naamini watapiga hela kupitia jezi ya Chama