Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mimi sijaona fahari yoyote ya Yanga kumsajili kiungo mwenye spidi ya konokono maana najua kwa Gamond alivyo itamuwia vigumu kumtumia.Mimi nasubiria tu kuona mchango wake kwenye timu. Na siyo tu burudani kama zile za Skudu.
Pensheni yake ya kusitaafu mnampa lini? Chama kafuata wazee wenzake hakina Sureboy , Aucho na mkude wa kupiganao stori .Kaona huku kila anaesajiliwa ni mtoto wake wa kuzaa hivyo atakosa wa kupiga nao stori.Mimi sijaona fahari yoyote ya Yanga kumsajili kiungo mwenye spidi ya konokono maana najua kwa Gamond alivyo itamuwia vigumu kumtumia.
Mimi nafurahia jinsi wanavyo umia kwa Chama kwenda Yanga, wapate Test ya tulivyo jisikia walivyo mchukua Haruna Niyonzima na Benard Morrison tukiwa Bado tuna wahitaji.
Mimi nitafurahi wakifikia hatua ya kui endesha Simba kwa bakuli tuone watashika nafasi ya Ngapi katika msimamo wa Ligi.
Nawakumbusha Azam Bado hatujamalizana nao, tutarudi Tena ni swala la muda tu.
Mbumbumbu mna sononaPensheni yake ya kusitaafu mnampa lini? Chama kafuata wazee wenzake hakina Sureboy , Aucho na mkude wa kupiganao stori .Kaona huku kila anaesajiliwa ni mtoto wake wa kuzaa hivyo atakosa wa kupiga nao stori.
kama Ntibanzokiza alivyo wafuata wazee alipo sajiliwa na simba au!!Pensheni yake ya kusitaafu mnampa lini? Chama kafuata wazee wenzake hakina Sureboy , Aucho na mkude wa kupiganao stori .Kaona huku kila anaesajiliwa ni mtoto wake wa kuzaa hivyo atakosa wa kupiga nao stori.
Haka kajamaa kapuuzi sana.Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu" @alikamwe
Ameyasema hayo leo 2/7/2024 wakati akizungumza na Waandishi Wahabari
Ukilitazama hili ni ukweli mtu kabisa Ishu ya kusajiliwa Chama ni Biashara kwa Yanga na ukitumia nafasi vizuri katika uuzaji wa jezi zao za msimu huu basi naamini watapiga hela kupitia jezi ya Chama View attachment 3031613